Friday, February 24, 2017

AUDIO | Nini - WIMBO HUU | Download

AUDIO | Nini - WIMBO HUU | Download
“Wimbo huu” ni wimbo ulifanywa na msanii kutoka Tanzania anaeitwa Nini. Wimbo wa kwanza kutoka kwenye album yake ya kwanza iliyopewa jina la “Ni nini?” “Wimbo huu” ni mchanganyiko wa zouk na Afro pop , wenye vionjo vya “Saxophone”, na rhythm za pwani na midundo ya kiafrika.
Kimashairi “Wimbo huu” unazungumzia mahusiano ya mbali ya wapendanao haswa pale ambapo wimbo unapokuwa na nguvu ya kukumbusha kuhusu mwenza wako aliyepo mbali, hivyo unakufanya uusikilize kila wakati unapomkumbuka. Umetengenezwa na kuandikwa na Daxo Chali katika studio za MJ Records by bayser sam.

0 comments:

Post a Comment