Sunday, February 5, 2017

AJALI: Watu kadhaa wafariki wakitokea Rombo kwenye miaka 40 ya CCM

Kuna ajali imetokea Rombo jioninya tarehe 05/02/2017. Viongoz wa CCM waliokuja kushiriki miaka 40 ya ccm Kimkoa iliofanyika wilayani Rombo akiwapo MNEC wa Same wamepata ajali maeneo ya Mwika wakirejea makwao toka Rombo. Kwa taalifa za awali watu watano wamefariki ktk ajali hiyo. Gari hiyo ilikuwa ni ya MNEC wa SAME na alikuwa amebeba Wanavyuo pia ======== UPDATE: Timu ya waandishi waliotoka Moshi kwenye sherehe za miaka 40 ya CCM Moshi yapata ajali. Inasemekana watu kadhaa wamefariki papo hapo. Ajali imehusisha fuso, bodaboda na gari nyingine waliokuwemo waandishi pia. Kwa mujibu wa Mwandishi wa Habari wa Majira, Flora Temba kwenye gari walikuwemo watu watano na wanne wamefariki amepona Kimambo Jackson aliyekuwa anaendesha gari. Chanzo cha ajali kinadaiwa kuwa ni Fuso lililokuwa nyuma kufeli breki kisha kuwagonga na kuwasukuma kwenda mtaroni kisha kugonga pia Bodaboda na Fuso kwenda kupinduka. Waliofariki inadaiwa ni zaidi ya wanne kwakuwa kuna waliokuwa kwenye Fuso pamoja na mwendesha bodaboda. Taarifa za awali zinaonyesha waliofariki ni mwandishi Arnold Swai kafariki. Mwandishi mwingine wa gazeti la Habari leo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Hai. Taarifa zaidi zinasema walikuwa kwenye shughuli za chama (CCM) wilayani Rombo. Kuna ajali imetokea Rombo jioninya tarehe 05/02/2017. Viongoz wa CCM waliokuja kushiriki miaka 40 ya ccm Kimkoa iliofanyika wilayani Rombo akiwapo MNEC wa Same wamepata ajali maeneo ya Mwika wakirejea makwao toka Rombo. Kwa taalifa za awali watu watano wamefariki ktk ajali hiyo. Gari hiyo ilikuwa ni ya MNEC wa SAME na alikuwa amebeba Wanavyuo pia ======== UPDATE: Timu ya waandishi waliotoka Moshi kwenye sherehe za miaka 40 ya CCM Moshi yapata ajali. Inasemekana watu kadhaa wamefariki papo hapo. Ajali imehusisha fuso, bodaboda na gari nyingine waliokuwemo waandishi pia. Kwa mujibu wa Mwandishi wa Habari wa Majira, Flora Temba kwenye gari walikuwemo watu watano na wanne wamefariki amepona Kimambo Jackson aliyekuwa anaendesha gari. Chanzo cha ajali kinadaiwa kuwa ni Fuso lililokuwa nyuma kufeli breki kisha kuwagonga na kuwasukuma kwenda mtaroni kisha kugonga pia Bodaboda na Fuso kwenda kupinduka. Waliofariki inadaiwa ni zaidi ya wanne kwakuwa kuna waliokuwa kwenye Fuso pamoja na mwendesha bodaboda. Taarifa za awali zinaonyesha waliofariki ni mwandishi Arnold Swai kafariki. Mwandishi mwingine wa gazeti la Habari leo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Hai. Taarifa zaidi zinasema walikuwa kwenye shughuli za chama (CCM) wilayani Rombo.

0 comments:

Post a Comment