Saturday, February 4, 2017

IGP Mangu awasimamisha kazi askari polisi 12 wanaodaiwa kujihusisha na mihadarati

IGP Ernest Mangu akiwa mubashara kupitia STAR TV, ametangaza kuwasimamisha kazi maofisa kadhaa wa Jeshi lake kupisha uchunguzi juu ya sakata la kujihusisha na mtandao wa madawa ya kulevya.
Mbali ya kuwasimamisha kazi, IGP Ernest Mangu ameagiza uchunguzi ufanyike dhidi ya askari waliotajwa kuhusika na biashara ya dawa za kulevya.
Majina ya waliosimamishwa haya hapa 1. PF 14473 SACP. CHRISTOPHER FUIME 2.PF 17041 INSP. JACOB HASHIM SWAI 3.E 8431 D/SGT MOHAMEDI JUMA HAIMA 4.E 3499 D/SGT STEVEN APELESI NDASHA 5.E. 5204 D/SGT STEVEN JOHN SHAGA 6. E.5860 D/CPL DOTTO STEVEN MWANDAMBO 7. E.1090 D/CPL TAUSEN LAMECK MWAMBALANGANI 8. E.9652 D/CPL BENATUS SIMON LUHAZA 9. D.8278 D/CPL JAMES SALALA 10. E.9503 D/CPL NOEL MASHEULA MWALUKUTA 11.WP 5103 D/C GLORIA MALLYA MASSAWE 12. F 5885 D/C FADHILI NDAHANI MAZENGO​

0 comments:

Post a Comment