Magari, pikipiki yang'olewa matairi, Ni katika kutekeleza agizo la Rais Magufuli
Pikipiki 61 zimekamatwa.
Baada ya agizo la Rais Magufuli kwa watu wanaotumia barabara ya mwendo kasi magari na piki piki zao kung'olewa matairi.
Agizo hilo limeanza kutekelezwa kwa pikipiki na magari kung'olewa matairi.
Nimeshudia pikipiki na magari yaliyong'olewa matairi kwa macho yangu.
Kamanda Mpinga kasema watu hao watafikishwa mahakamani. Hukumu kabla ya kesi, kama polisi akikuchukia kwa visa binafsi na kukuchomekea umetumia barabara ya mwendo kasi imekula kwako.
0 comments:
Post a Comment