Friday, February 3, 2017

MADAWA YA KULEVYA: RC Makonda na Kamanda Sirro waongea na wanahabari

" alt="MADAWA YA KULEVYA: RC Makonda na Kamanda Sirro waongea na wanahabari" Furaha yetu si idadi ya watu wangapi tumewakamata kwa dawa za kulevya, furaha yetu ni DSM kutokuwa sehemu ya dawa za kulevya'-RC Makonda 'Ikipona DSM na dawa za kulevya huko pote mikoani patakuwa salama' -RC Makonda 'Kuna watu tuliwaita, baadhi nimeambiwa hawajafika, ambao hawajafika nimeagiza wakachukuliwe wakae ndani mpaka siku ya jumatatu'-RC Makonda 'Tumeunda timu maalumu ya kushughulika na wanaouza dawa za kulevya, timu itakuwa na vyombo vyote vya dola si polisi peke yake'-Kamanda Sirro.
Kamanda Sirro amemtaja Vanesa Mdee kuwa miongoni mwa wanaotuhumiwa kuhusika na mtandao wa madawa, amtakiwa kuripoti kituoni Jumatatu.

0 comments:

Post a Comment